MANCHESTER United inatarajiwa kuwa uwanjani leo Ijumaa kuivaa Yeovil Town katika raundi ya nne ya Kombe la FA.
United itakuwa ugenini kuivaa timu hiyo ya daraja la pili ambapo kuna mambo kadhaa yatakuwa gumzo juu ya mchezo huo.
Alexis Sanchez kuanza kazi
Kocha Jose Mourinho wa United anatarajiwa kuanza kumtumia staa wake mpya kikosini hapo kwa mara ya kwanza. Hiyo ni kiu ya mashabiki wengi kumuona mchezaji huyo katika kikosi hicho.
Mourinho mechi 100
Leo ni siku ya kuzaliwa ya Mourinho ambaye anatimiza umri wa miaka 55 pia atakuwa akifikisha mchezo wake wa 100 akiwa na Man United. Ameshinda 61, sare 23 na kupoteza 15, mabao ya kufunga ni 176, mabao ya kufungwa 70 na ana mataji matatu.
Mabadiliko kikosini
Mourinho anaweza kufanya mabadiliko ya kikosi ikiwemo kumpa nafasi kipa Sergio Romero na kumpumzi s h a David De Gea.
A n d e r H e r r e r a mechi 150
Kiungo h u y u ame s h a c h e z a m e c h i 149 akiwa United k a m a atacheza basi atafikisha mechi 150
No comments:
Write comments