Monday, January 22, 2018

Alichokisema Isha Mashauzi kuhusu mziki wa Taarabu

Msanii Isha Mashauzi maarufu kama Jike la Simba ameibuka na kusema muziki wa miondoko ya taarabu nchini hauwezi kufa kama baadhi ya watu wanavyodhani, kwa madai wao hawategemei 'kiki' katika kufanya kazi zao kama wanavyofanya wasanii wengine.

Isha amebainisha hayo wakati akitambulisha 'video' yake mpya ya wimbo 'nibembeleze' kwenye kipindi cha 'FRIDAY NIGHT LIVE' (FNL) kinachorushwa na EATV tinga namba moja kwa vijana, baada ya kuwepo minong'ono mingi kwa wapenzi na mashabiki wa nyimbo hizo wakidai huenda muziki huo umekufa, kwa maana hawasikii vijembe vya maneno wanavyopigana wasanii wenyewe kwa wenyewe kama wanavyofanya baadhi ya waimbaji wa muziki wa bongo fleva.

"Taarabu haiwezi kufa, naweza kusema ni muziki mama wa Afrika, Tanzania au hata duniani. Muziki wa taarabu ukipigwa sehemu yeyote kila mtu ataujua fika kwamba hii ni taarabu tofauti na muziki mingine kwa hiyo hauwezi kufa", alisema Isha Mashauzi.

Pamoja na hayo Isha ameendelea kwa kusema "naweza sema tu kwamba labda wanamuziki wa taarabu hawapendi zile kiki ambazo zipo kwa wanamuziki wengine, leo utasikia huyu sijui anatoka na fulani mara yule vile ndiyo mwisho wa siku aachie kazi yake mpya. Hicho kitu kwenye taarabu hamna naweza kutetea hivyo ndiyo maana wanasema hivyo

Inasikitisha, Mashabiki Wawili wa WCB Wafariki Dunia kwa Ajali


Mashabiki hao waliopata ajali ya gari maeneo ya Chalinze wakitokea Morogoro kurudi Dar es Salaam, ni Philly Nevvo na mwingine ni Platnumz Mondi kwa majina ambayo walikuwa wanatua Instagram.

Rais wa WCB, Diamond Platnumz amesikitisha kutokea kwa ajali hiyo.

“Mbele Yenu Nyuma yetu, Siku zote tutaendela kuwakumbuka na kuthamini Mapenzi na mchango wenu Mkubwa kwa @wcb_wasafi…..Mwenyez Mungu azilaze Roho zenu mahali pema peponi….amen🙏 @philly_nevvo_msafi @,” aliandika Diamond

orpion ahukumiwa miaka saba jela

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu Salum Njwete ‘Scorpion‘ miaka 7 jela kwa kosa la kumjeruhi na kumtoboa macho Said Mrisho, pia mahakama imemtaka kulipa faini ya TSH. Milioni 30 kwa ajili ya fidia kwa majeruhi huyo.

Mlalamikaji amelia akidai adhabu hiyo haitoshi. Amesema atakwenda kwa Rais Magufuli kumueleza masikitiko yake

Thursday, January 18, 2018

Simba SC yamtangaza rasmi Kocha mpya




Pierre Lechantre

Klabu ya Simba leo imemtangaza rasmi Mfaransa Pierre Lechantre, kuwa Kocha mpya atakayekinoa kikosi hicho ambacho kilikuwa hakina mwalimu baada ya kumfukuza aliyekuwa kocha wake, Joseph Omog mwishoni mwa mwaka jana.

Taarifa hiyo iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Klabu hiyo, Haji Manara imeeleza kuwa kocha huyo ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu nafasi hiyo na Mfaransa huyo atashuhudia mchezo wa Simba SC dhidi ya Singida United leo Januari 18, 2018 katika Uwanja wa Taifa.

Mfaransa huyo alishawahi kukinoa kikosi cha timu ya taifa ya Cameroun kilichoshinda ubingwa wa Afrika mwaka 2000 na ameshawahi kushinda tuzo ya kocha bora wa bara la Afrika 2001.

Soma zaidi taarifa hiyo kutoka Simba SC;

                                          TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya,Mfaransa Pierre Lechantre.

Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu nafasi hiyo

Kocha Lichantre keshawahi kufundisha vilabu kadhaa duniani kikiwemo kikosi cha Timu ya Taifa ya Cameroun kilichotwaa ubingwa wa Africa 2000.

Kocha huyo pia alipata kuwa kocha bora wa Afrika mwaka 2001 na pia barani Asia mwaka 2012.

Lechantre amekuja pia na kocha wa viungo Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi, Na leo jioni kocha Lechantre ataishuhudia Simba ikicheza na Singida United kwenye Uwanja wa Taifa

Bunduki ya kivita yenye skafu ya Chadema yakamatwa Shinyanga


Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule akionesha silaha aina ya AK-47 yenye namba 18116428 na mafuta ya kulainishia silaha yaliyotupwa na majambazi waliotaka kuvamia kiwanda cha Jielong 
 Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata silaha ya kivita aina ya AK-47 iliyotupwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi waliokuwa wanataka kuvamia kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania) Ltd kilichopo Nhelegani katika kata ya Kizumbi manispaa ya Shinyanga.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Januari 18,2018 Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule amesema walikamata silaha hiyo usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano eneo la Tinde wakati majambazi hao wanafuatiliwa na polisi ndipo wakaamua kutupa bunduki hiyo.

“Silaha hii aina ya AK-47 yenye namba 18116428 ilikuwa imefungwa kwenye skafu yenye rangi ya nembo ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwa na risasi 25 ndani ya magazine yake na risasi zingine 8,zikiwa kwenye mfuko mdogo wa nailoni”,alieleza Kamanda Haule.

“Majambazi wawili pia walitelekeza pikipiki aina ya SANLG yenye namba za usajili MC 856 BPF,mafuta ya cherehani ya kulainishia silaha,tochi mbili na koti zito”,aliongeza.

Alisema jeshi la polisi lilipata taarifa za majambazi hao kutaka kuvamia kiwanda hicho kinachomilikiwa na raia wa China tangu tarehe 6.01.2018 kisha kuanza kuwafuatilia na kubaini kuwa baadhi yao ni wakazi wa Kahama na Ushirombo ambapo amewataka kujisalimisha polisi.

FAIDA ZA WANAWAKE WENYE MATAKO MAKUBWA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI

Makalio makubwa hunisaidia kujua
kama mwenzi wangu amefika orgasm,
mfano ikitokeana hit Doggie basi wakati
wa orgasm (most of girls) makalio
huwayanatikikisa (twitch, fasciculate )
ambayo huwa inaambatanana miguno
ya kimhaba inayo fifia ambayo kabla ya
hapo huwa ya sautikubwa… hii unifanya
nijue what to do next kumzidishia utamu
zaidi. Hii kitu inukuwa ngumu kunotice
kwa msichana ambaye nimwembamba
just have to relay from other signs
2. Makalio makubwa huwa
yananifanifanya iwe rahisi kwangu
kuyashika (grab) especially wakati wa
doggie.ikizingatia gym imekubali na
kifua na mabega yametanuka ( shoulder
to shouler distance ni kubwa). itaniwia
ngumu sana kama msichana an mwili
mdogo na makalio yake pia
3. Msichana mwenye makalio makubwa
obvious atakuwa na nyama nyama
kwenye mapaja hii nyama nyama
zinakuwa na act kama chock absober na
kucushion ile hiting force ,especially
when adrenaline na sympathetic flow is
at peak and s3x is becoming hardcore,
katika situation hiii , kimbau mbau
anaweza teguka nyonga. if ur not doing
that smoothly.
4. Makalio makubwa yana yanasaidia
kutengeneza ile NUMBER 8 ya mwili,
mfano ukutane na msichana makalio
makubwa na ni mtu wa mazoezi hana na
mikunjo ya kunenepa mgongoni na
tumboni , and ur hitting doggie,
ukitazama her PERFECT ARCH from the
behind yaani ni full Hamasa.
Kwa kumalizia siwabagui na
kuwanyanyapaa wasichana wembamba,
kwani kwenye haya mambo siku zote ni
combination ya vitu vingi. Wembamba
nao wana vitu adimu.. Its just me from
what i ahave been experiencing….
Unaweza kutoa na wewe uzoefu wako
ama kukosa nilichoandika

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini


Diamond Platnumz - Sikomi (Official Audio)

Diamond Platnumz - Sikomi (Official Audio)

Image result for Diamond Platnumz - Sikomi (Official Audio

Ungana nasi Facebook Like page yetu hapa chini