URUSI wametengeneza SATAN -2. SATAN 2 Made in russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016, hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani limetengenezwa kwa Advanced tecnology ni inter-continental lina fika popote duniani kwa muda mfupi tuu kwa kasi ya ajabu, lina uzito wa zaidi ya tani 100, linabeba mabomu10-15 ya atomic, kombora kama hili moja linaweza kuigeuza majivu nchi yote ya UFARANSA. Makombora kama haya 54 yanaweza kuiangamiza USA kabisa. Pamoja na silaha nyingine kali za kivita ndio maana RAISI wa RUSSIA kwa kujiamini kabisa alisema hivi, " WE HAVE THE BEST ARMY IN WORLD.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments