Shule ya #LuckyVincent, ilianzishwa 31/1/2006 na kusajliwa rasmi mnamo 29/ 12 /2006 kwa namba AR.02/7/E.A 028.
.
.
Katika matokeo ya darasa la saba mwaka 2016 shule hiyo ilishika nafasi ya kwanza (kati ya 331 ) kimkoa na na nafasi ya 20 ( kati ya 8109 ) Kitaifa.
.
.
Jambo hilo lilifanya wazazi wengi kupeleka watoto katika shule hiyo, wengine wakiwahamisha kutoka shule nyingine ili wakafaulu vyema. #CloudsDigital imebaini kwamba darasa la 7 katika shule hiyo lina wanafunzi 106, jambo linaloonyesha kwamba wazazi walijenga imani kwa shule hiyo. Imani ambayo pia ilichangiwa na walimu 2 waliotangulia mbele ya haki wakiwa na wanafunzi wao 32 na dereva.
.
.
Sunday, May 7, 2017
LUCKY VINCENT
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments