KutokaArusha: Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha alitoa pole kwa msiba huo kama mzazi kwani msiba huo ni mgumu na mzito kwa jamii.
Naye Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, ambayeshugulikia elimu, Avemaria Semakafu ambaye anashugulikia masuala ya elimu alikemea tabia ya kuwachafua watoto kwakuingiza imani za kishirikina na kutoa rai kuungana kwa pamoja ili kushirikiana kwa pamoja na kutoa rai kwa uongozi wa Jiji la Arusha kutoa mafunzo maalum ya saikolojia kwa watoto hawa waliobaki shuleni ili waweze kuondoa mawazo ya taswira ya jinsi ajali ilivyotokea.
Alitoa angalizo kuwa ajali nyingi sana zinaweza kuzuilika endapo madereva watakuwa makini barabara inatumiwa na watu wengi na ninahakika gari hili lilikuwa na nwendokasi hivyo madereva kuweni waangalifu.
Alisisitiza kuwa siwezi kusema dereva huyu alikuwa mbovu hapana lakini umakini unahitaji pia madereva mzingatie hali ya hewa.
Sunday, May 7, 2017
NAIBU WAZIRI WILLIAM OLE NASHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Write comments