Thursday, February 1, 2018

VIDEO: EXCLUSIVE Katambi aichana CHADEMA Amtaja LISSU
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema BAVICHA, Patrobas Katambi amefunguka kwa mara ya kwanza sababu za kujiuzulu nafasi yake hiyo pamoja na kuachana na chama hicho na kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM. Katambi ameyasema hayo katika mahojiano maalumu na Muungwana TV aliyoyafanya leo ikiwa ni mara ya kwanza tangua afanye maamuzi hayo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments:

Post a Comment