Saturday, July 29, 2017

NEW VIDEO HARMONIZE SUNA

117K views 6 Hours Ago #SINA WIMBO  MPYA KUTOKA KWA KIJANA WAKO @HARMONIZE_TZ FUATA LINK HII KWENYE BIO YA @harmonize_tz 👉https://youtu.be/nuLx7gXkt6s...

Friday, May 26, 2017

KAMPALA

KAMPALA, UGANDA: Mkataba wa mradi wa Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Uganda(Intergovernmental Agreement - IGA) umesainiwa leo. Ujenzi wa...

Saturday, May 20, 2017

Unguja

Makamu wa Rais Samia Hassan amewasili Unguja, Zanzibar kutoka Dodoma, kesho atazindua kampeni maalum ya "Mimi na Wewe". ...

Urusi

URUSI wametengeneza SATAN -2.  SATAN 2 Made in russia likionyeshwa live tarehe 27/10/2016,  hili kombora ndio hatari zaidi kwa sasa duniani...

Monday, May 15, 2017

TAARIFA

Waziri wa Elimu Professa Joyce Ndalichako amewasimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIE, Dr. Kibga na Nicholas Bureta kufuatia makosa kwenye...

BREAKING NEWS

MIX #BREAKING: Rais Magufuli ameivunja Mamlaka ya Ustawishaji CDA Dodoma (+PICHA) By David King TZA onMay 15, 2017 COMMENTS Leo May...

Saturday, May 13, 2017

DAVIDO

R.kell afanya rimx nyimbo ya  davido ...

Thursday, May 11, 2017

TANAGA MAFULIKO

ATHARI ZA MVUA: Mbunge Stephen Hilary Ngonyani almaarufu "Prof. Maji Marefu" akiokoa wananchi jimboni kwake Korogwe, Tanga ...

Tuesday, May 9, 2017

SIMBA

Banda na Mzamiru wawashukuru mashabiki kwa kuwachagua wachezaji bora wa mwezi. Habari Kamili click link kwenye Bio ...

SUDANI

SUDAN KUSINI: Shirika moja la misaada laonya kuwa huenda watu Milioni 6 wakafariki kufuatia ukame katika nchi hiyo na mataifa jirani....

Sunday, May 7, 2017

LUCKY VINCENT

Shule ya #LuckyVincent,  ilianzishwa  31/1/2006 na kusajliwa rasmi mnamo 29/ 12 /2006 kwa namba AR.02/7/E.A 028. . . Katika matokeo ya...

ARUSHA

ARUSHA: TANESCO imekata umeme kwa Majeshi ya Ulinzi na Usalama pamoja na Hospitali za Serikali kutokana na malimbikizo ya madeni. ....

SIMBA

Timu ya soka ya Simba imerejea kileleni mwa ligi baada ya kuisambaratisha African Lyon kwa bao mbili kwa moja. ...

BARANI URAYA

EPL: Klabu ya Arsenal imeinyuka magoli 2-0 Manchester United hii leo. . Magoli hayo yamefungwa na Xhaka(Dakika 54) na Welbeck(Dakika 57)....

TANGA

TANGA: Ajali mbaya imetokea usiku huu eneo la Lusanga, Muheza. Basi aina ya Coaster likitokea Tanga kuelekea Korogwe limegonga Lori kwa...

NAIBU WAZIRI WILLIAM OLE NASHA

KutokaArusha: Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William ole Nasha alitoa pole kwa msiba huo kama mzazi kwani msiba huo...

RAIS JOHN MAGUFULI

RAIS John Magufuli ameagiza kuanzia kesho taasisi zote zinazotoa huduma katika Bandari ya Dar es Salaam ziungane na Mamlaka ya Usimamizi...

Saturday, May 6, 2017

MVUA KUBWA YANYESHA TANGA

KOROGWE, TANGA: Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha wilayani hapo zimesababisha kifo cha Mama na Mtoto wake. Wengine 8 wajeruhiwa. Kati ya majeruhi...

WANANCHI WAKIWA WAKIWA ENEO LA SHULE

Sehemu ya wananchi wakiwa katika eneo la Shule ya Lucky Vincent iliyopo mkoani Arusha kwa ajili ya kufuatilia taarifa zaidi juu...

STEVE NYERERE

Msanii wa filamu, Steve Nyerere, amedai wasanii wa filamu wanashindwa kufanikiwa kutokana na kukosa ushirikiano huku akidai kuna baadhi yao wanajifanya...

ALICHO SEMA BARAKA LEO KWENYE PAGE YAKE YA INSTAGRAM

Tangu nazaliwa sijapata kuona Nchi yenye wajuaji wengi kama #TANZANIA..tangu nazaliwa sijawai kupata kuona Nchi yenye binadamu wenye chuki baada kuona...

NAY WA MITEGO ATAFANYA SHOW KUBWA DAR LIVE

#WapoTour nizamu ya #DarLive  Njoo wewe na yule Njooni Tuvunje Kibubu na Mrlover @naytrueboy #babayaga Shika iyo Th. 2o/05/2017 #Wapooooooo ...

Wimbo mpya Wa darasa umedhihirisha kuwa ile ngoma ya Muziki alibahatisha

  Darasa ametoa ngoma mpya ambayo kwa kweli imedhihirisha kuwa msanii huyu hana kipaji cha kutunga mashairi mazuri. Si hivyo tu...

Page 1 of 16123»